
12,359 views
22 Oct 2026
Chorus Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema kwa maana fadhili zake ni za milele Mshukuruni Bwana ni mwema kwa maana fadhili zake za milele *2 Stanza 1 (Mshukuruni Mungu Mungu wa miungu) Kwa maana fadhili zake za milele (Mshukuruni Bwana Bwana wa mabwana) Kwa maana fadhili zake za milele (Yeye pekee yake afanya maajabu makuu) Kwa maana fadhili zake za milele...eeeh Aliwapiga wamisri kwa kuwaua wazaliwa wao wa kwanza wote mmmmmmhhh.. Akawatoa waisraeli katikati yao kwa mkono hodari mkono ulionyoshwa Aligawanya bahari ya Shamu akawavusha waisraeli katikati yake Akamwangusha farao na jeshi lake katika bahari Stanza 2 (Mshukuruni) Aliyefanya mbingu kwa fahamu zake (Mungu wa mbingu na nchi)Aliyetandaza nchi juu ya maji (Hakuna linalomshinda)Aliyefanya mianga mikubwa jua litawale mchana mwezi na nyota usiku....(fadhili zake za milele)