
122,796 views
12 Feb 2026
Mama Ni Mchungaji - By sarah Mathe Music 2026 Swahili Latest Song . Recorded At : Great Nation Hub ( GN Studios ) Under Jeremy Jeradi video by Great Nation Hub ( GN Studios ) Backup By : Imani Faith & George Irankunda and Minister Jeremy Jeradi Huu ni Wimbo wa Injili unao zungumzia thamani ya mama kwenye Jamii , na faida kubwa ya mama kwenye familia na mwili wa kristo... huu sio wimbo tu ila ni kumbusho kwa wamama wote duniani , kwamba wao ni wachungaji , walimu , wainjilisti na mitume kwenye Familia zao mama anapofanya kazi yake vyema , familia yenye thamani na upendo inazaliwa.. GOD BLESS ALL WOMEN. #gospelmusic #2026 #kenyamusic #tanzaniagospelsongs #music #musicvideo #2026Swahilisongs #swahilimusic #swahilisong