
230,740 views
20 Dec 2025
Ubarikiwe by Sarah Mathe official live recording video Wimbo wa injili unao zungumzia matendo makuu ya Mungu , Wimbo huu ni wa sifa na ibada , tena Wimbo wa shukrani . Mungu wetu ni mwema na wa Ajabu matendo yake ni makuu Endelea ku Barikiwa na Wimbo huu mpya , usi sahau ku like , share & subscribe… #swahilisongs #latestworshipsongs #gospelmusic #kenyangospelmusic #tanzaniagospelsongs #tanzaniamusic #kenyamusic #nyimbozainjili