
112,190 views
31 May 2025
"Ni Mkono wa Bwana" ni ushuhuda wa neema na uweza wa Mungu maishani mwangu. Wimbo huu unakiri kwa unyenyekevu na shukrani kwamba si kwa nguvu zangu, bali ni mkono wa Bwana uliyo niokoa, kuniinua na kunilinda katika kila hatua. Ni wito kwa kila msikilizaji kutambua kwamba hata katikati ya giza na majaribu, mkono wa Mungu bado unatenda kazi — unaokoa, unaponya, na unatuvusha. 🙏 Acha wimbo huu uwe baraka kwako kama ulivyokuwa kwangu. ➡️ Subscribe kwa muziki zaidi wa kuinua roho. 📢 Usisahau kushare na wengine! #NiMkonoWaBwana #GospelMusic #MkonoWaMungu #Worship