
6,955 views
4 Feb 2020
Contacts: +254717895858/+254728690381 Fb: His Chariots Email: hischariots@gmail.com #Amazinglove LYRICS Mwanadamu alipoumbwa alikuwa mkamilifu Kwa kutotii agizo la Mungu kajikuta dhambini Na hapo ndipo kikawa chanzo cha anguko la mwanadamu Vifo mateso makali ni sababu ya dhambi Ndipo Yesu akashuka kwa ajili yetu Akatoa maisha yake ili tuokolewe Hili ni pendo la agape kwetu tusiyostahili Tutalipa nini juu ya pendo la agape Hata leo tunapotenda dhambi twamhuzunisha Mungu Yatendekayo chini ya jua kweli yanashangaza Roho asihi tuache dhambi na kutenda yaliyomema Hukumu ndugu i karibu mwamini leo uokolewe.