
5,627 views
Kwaya ya Mtakatifu Stefano Mutyamboo
17 Apr 2022
Kwaya ya Mtakatifu Stefano Mutyamboo kutoka Parokia teule ya Mtakafu Paulo Matuu Mjini Jimbo Katoliki la Machakos, wanatukaribisha kushiriki katika kutazama na kusikiliza wimbo huu maalum wa Pasaka uitwao Bwana Kafufuka. Wimbo huu ni utunzi wake Muli Franc. Organist: Muli Franc Audio: Mbegu nyingine Productions Video: Star Vision Media