
3,511 views
Kwaya ya Mtakatifu Stefano Mutyamboo
3 Mar 2022
Wimbo huu ni moja ya nyimbo zilizopo katika Tolea la Kwanza la Kwaya ya Mtakatifu Stefano Mutyamboo. Ni wimbo unaoashiria mateso yake Bwana wetu Yesu Kristu na ni Wimbo maalumu wa Kwaresma/maombolezo/toba. Composer: Michael .N. Muthama Organist: Muli Franc Audio: Star Vision Media Studios Video: Star Vision Media