
597 views
Kwaya ya Mtakatifu Stefano Mutyamboo
4 Jan 2022
Kwaya ya Mtakatifu Stefano Mutyamboo, Kutoka Parokia ya Mtakatifu Paulo, Matuu Jimbo Katoliki la Machakos, wanatukaribisha kusikiliza na kutazama wimbo huu maalum wa Janga La Korona. Wimbo huu umetungwa naye Godfrey Mahundi na kuimbwa na Kwaya ya Mtakatifu Stefano Mutyamboo.Kwa namna ya pekee wanamshukuru Mungu kwa kuweza kufanikisha kazi hii yenye lengo la kuinjilisha.Wanamshukuru pia Baba Paroko Rev. Fr. Bonaventure Musyoki kwa ushirikiano Mkubwa. Audio na Video vimefanywa na Star Vision Media Productions na Kinanda kimechezwa na Muli Franc. Karibuni na Mungu awabariki sana.