
1,202 views
4 Dec 2020
There is no battle too big that God cannot win for us.... There is no battle too small that God wants us to fight for ourselves! Big or small; the battle is His. Mungu Wa Vita. (2 Chronicles 20:15) To support the ministry use; Mpesa Paybill: 522 533 Account: 7949 303 Written and Performed By @ProsperNdilima Audio @johnttez_krucial_sounds Video @stevehunterr Guitarist @Utukufumukandama BGV'S @zippiegachengo Chareography @Quards crew kenya Model 1. @Ajedidah_ Model 2. @muse_princess LYRICS Aarsi! Mungu Wa vitaa Kuna mengi yalisemwa mishale inayovunja Moyo Pia mengi yakatendwa mrandi kunifilisi Mimi Kama sio Huyu Mungu Kuwa Kwa upande wangu Maasidi wangefurahi Wamekisha nizika hai Ila Kati Mungu kaingilia Mabandiliko kayadhaminia Mitengo walionitegea Imewatega wenyewe Mashimo walionichimbia Wameingia wenyewe Aibu walionipikia Wameikula wenyewe Chorus Mungu wangu Anipigania Aha Tena Ananishindania Mungu wangu Anipigania Tena Ananishindania Maandui wanakula huu Ongezea na hasara juu Maandui wanakula huu Ongezea na hasara juu Eeeeehe oooooho! Sema kukula nao, Kucheka nao, Kutembea nao Nikiwadhani marafiki Kube makucha yao Michogoma yenye sumu Kulima; tulime kwa pamoja Mavuno wavute upande wao Oyooyoyoyo oyoooo... Kati Mungu kaingilia Mabandiliko kayadhaminia Mitengo walionitegea Imewatega wenyewe Mashimo walionichimbia Wameingia wenyewe Aibu walionipokia Wameikula wenyewe Mungu wangu Anipigania Aha... Tena Ananishindania Mungu wangu Anipigania Tena Ananishindania Maandui wanakula huu Ongezea na hasara juu Maandui wanakula huu Ongezea na hasara juu Vita zangu zina Mwenyewe Oohoho zina Mwenyewe Sipingani mie zina Mwenyewe Oohoho zina Mwenyewe Sishindani mie zina Mwenyewe Oohoho zina Mwenyewe Nashindiwa mie zina Mwenyewe Oohoho zina Mwenyewe Mungu wangu Anipigania Aha Tena Ananishindania Mungu wangu Anipigania Tena Ananishindania Maandui wanakula huu Ongezea na hasara juu Maandui wanakula huu Ongezea na hasara juu