
5,358 views
12 Aug 2020
Song: Tena na Tena Written and Performed By: Prosper Ndilima Audio Producer: Johnttez (Krucial Sounds) Video Director: Steve Hunter Back Up Vocals: Zippie Gachengo Guitarist: Papa Utukufu Mukandama To support the ministry use; Mpesa Paybill: 522 533 Account: 7949 303 Let's Interact; Face Book: https://www.facebook.com/ProsperNdilima/ Instagram @prosperndilima. https://www.instagram.com/invites/contact/?i=u1lu9r12qv5a&utm_content=oagzpx Twitter: https://twitter.com/ProsperNdilima?s=09 Download Tena Na Tena. http://smartklix.com/smartlink/?id=9c11b633&c=y TENA NA TENA LYRICS Aarsi Mwenye matendo ya ajabu ni wewe Na upendo wa ajabu ni wewe Ulinijua kitambo nizaliwe Kanipenda kitambo nikujue Mwana wako wa pekee kamutoa Ilimradi nipate wokovu Mwana wako wa pekee kamutoa Ilimradi nipate ushindi Kwenye ngiza ukaniokota Kwenye mwanga ukaniogonza Jina mpya Baba ukanipa Mimi sasa ni M'barikiwa Jina mpya Yaweh ukanipa Mi ni Mtakatifu wa Mungu Sio Kwa uwezo wangu jamani Ila neema yako inanitosha Kuimbaaaaaa...... Tena na tena na tena Nitaimba sifa zako Yaweh Tena na tena na tena Nitasifu wema wako Yesu Tena na tena na tena Nitaimba sifa zako Yaweh Tena na tena na tena Nitasifu wema wako Yesu uuh Msalabani ulisema imekwisha Eeeeh Dhabi zote ulichukua Ukumu ukaniondolea Dhabi zote ulichukua Ukumu ukaniondolea Kwa mapingo yako nimepona Laana zote umevunja Kwa mapingo yako nimepona Hakika mimi niko huru Ibilisi akinidhalilisha Kwako unanieshimisha Wengine wakinidhalilisha Yesu unanieshimisha Uyoyooo Tena na tena na tena Nitaimba sifa zako Yaweh Tena na tena na tena Nitasifu wema wako Yesu Tena na tena na tena Nitaimba sifa zako Yaweh Tena na tena na tena Nitasifu wema wako Yesu uuh Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Tena na tena na tena Nitaimba sifa zako Yaweh Tena na tena na tena Nitasifu wema wako Yesu Tena na tena na tena Nitaimba sifa zako Yaweh Tena na tena na tena Nitasifu wema wako Yesu uuh