Abiria 5 wafariki na 3 kujeruhiwa vibaya katika ajali katika barabara ya Sabasaba kwenda Murang'a

  • | NTV Video
    889 views

    Abiria 5 walifariki papo hapo na wengine 3 kujeruhiwa vibaya wakati gari walilokuwa wakisafiria lilipohusika katika ajali mbaya huko Kagurumo, katika barabara ya Sabasaba kwenda Murang'a mjini, kaunti ya Murang’a.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya