3 Oct 2025 10:34 am | Citizen TV 2,077 views Duration: 1:42 Chama cha ODM kimepata pigo kubwa baada ya mgombea wake wa kiti cha wadi ya Kisa Mashariki eneobunge la Kwisero kaunti ya Kakamega kuhumia chama cha DAP-K siku chache tu baada ya kupokea tiketi ya ODM.