Skip to main content
Skip to main content

ACT-Wazalendo yapinga matokeo ya uchagauzi wa urais visiwani Zanzibar #uchaguzi2025 #tanzania

  • | BBC Swahili
    27,096 views
    Duration: 1:06
    "Wananchi wameibiwa sauti yao... Suluhu pekee ya kupata haki ni uchaguzi mpya," Chama cha upinzani, ACT-Wazalendo, kimepinga matokeo ya uchagauzi wa urais visiwani Zanzibar. - Mgombea wa urais wa chama hicho Outhman Masoud alieleza kutoridhishwa kwake. - Tume ya uchaguzi ya Zanzibar ilimtangaza Hussein Ali Mwinyi kuwa mshindi wa kura za urais na tayari ameapishwa kuendelea kuiongoza serikali ya mapinduzi kwa muhula wake wa pili. - - #zanzibar #uchaguzi2025 #tanzania #bbcswahili #fypSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw