Aendesha Gari kilimota 530 kushangilia timu yake ya taifa

  • | BBC Swahili
    319 views
    "Kulikuwa na matuta machache hapa na pale - gari langu lilipasuka tairi." Je, ungependa kuendesha gari 33Om (530km) ili kutazama timu yako ya taifa ya kandanda ikicheza?! Ndivyo alivyofanya Nana Adusei kutoka Ghana #bbcswahili #afcon #ghana Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw