4 Jan 2026 7:36 pm | Citizen TV 289 views Duration: 1:11 Kakamega Homeboyz wamepanda kileleni mwa ligi kuu nchini baada ya kuilaza AFC Leopards bao moja bila uwanjani nyayo hapa Nairobi.