Skip to main content
Skip to main content

AFC Leopards yashinda Ulinzi Stars na kusalia mbio za ubingwa KPL

  • | Citizen TV
    147 views
    Duration: 1:09
    Timu ya AFC Leopards imeweka hai matumaini yao ya kushinda taji la Ligi Kuu ya Kenya kwa ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Ulinzi Stars katika uwanja wa Taifa wa Nyayo. Ingwe inasalia katika nafasi ya pili kwenye ligi, pointi nne nyuma ya vinara Gor Mahia zikiwa zimesalia mechi tatu msimu kumalizika.