AFCON 2023: Tanzania uso kwa uso na Morocco

  • | BBC Swahili
    555 views
    Kuelekea mchezo wa Tanzania na Morocco leo Jumatano utakao pigwa saa 2 usiku muda wa Afrika Mashariki. Mwandishi wa BBC @frankmavura amefanya mahojiano na Waziri wa Michezo wa Tanzania Damas Ndumbaro ambaye anaelezea maandalizi ya timu na jinsi Serikali ya Tanzania ilivyotoa hamasa kwa wachezaji ili waweze kulipatia Taifa hilo ushindi. 📸: @TaifaStars_/Twitter #bbcswahili #tanzania #taifastars Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw