Afisa mmoja wa polisi anashukiwa kuwapiga risasi wanafunzi wawili

  • | K24 Video
    39 views

    Afisa mmoja wa polisi anashukiwa kuwapiga risasi wanafunzi wawili na kusababisha mmoja wao kufariki katika mtaa wa lake view mjini Nakuru kwa kile ambacho wakaazi wanasema ni utumizi mbaya wa nguvu na mamlaka. Manafunzi huyo anadaiwa kupigwa risasi kimakosa katika purukushani iliyozuka polisi walipokuwa wakijaribu kuwakamata wacheza kamri.