Matamshi ya Rigathi Gachagua yashtumiwa

  • | KBC Video
    854 views

    CHECHE ZA KISIASA

    Matamshi ya aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua kuhusu uchaguzi mkuu wa mwaka-2027 yameibua hisia mseto huku wakazi wa Kisumu wakimshutumu kwa madai ya kuchochea hofu na taharuki ya kisiasa humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News