Wakazi wa Ndhiwa na Dipu wanataka hatimiliki za ardhi

  • | KBC Video
    7 views

    Wakaazi wa vijiji vya Ndhiwa na Dipu katika Wadi ya Witu kaunti ya Lamu sasa wanataka asasi za serikali kuingilia kati kutatua mzozo kuhusu umiliki wa ardhi ya ekari-20. Wakazi hao wanadai kuwa mmiliki mmoja wa kibinafsi amekuwa akiwahangaisha kwa kutishia kuwafurusha kwa madai kuwa yeye ndiye mmiliki halisi..

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News