Afisa mmoja wa SSU, kati ya tisa, walioshtakiwa ameachiliwa kwa bondi

  • | Citizen TV
    859 views

    Maafisa wanane kati ya tisa wa kitengo kilichovunjiliwa mbali cha ssu watasalia kizuizini kwa muda wa siku 21 huku uchunguzi ukiendelea.hakimu mkuu katika mahakama ya kahawa diana mochache alimwachilia afisa mmoja kwa bondi baada ya kuthibitishia mahakama kuwa hakuwa jijini Nairobi wakati wa kutoweka kwa raia wawili wa India na dereva wa teksi. Na kama anavyoarifu Hassan Mugambi wakili wa washtakiwa sasa ameelekea katika mahakama kuu kushinikiza kuachiliwa kwa wanane waliosalia.