Afisa wa afya ya umma awaonya wanaopinga juhudi za utumizi wa vyoo vya kisasa kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    445 views

    Afisa wa Afya ya umma Kaunti ya Samburu ametoa onyo kwa wafugaji kaunti hiyo wanaopinga juhudi za kuwarai wafugaji kukumbatia utumizi wa vyoo vya kisasa. Afisa huyo anasema kuwa atakaye patikana akirejesha nyuma juhudi hizo atachukuliwa hatua.