Skip to main content
Skip to main content

Africa Forward Nairobi yajadili mustakabali wa Afrika na ushirikiano wa kimataifa

  • | Citizen TV
    559 views
    Duration: 3:11
    Kongamano la siku mbili la Africa Forward limeanza rasmi jijini Nairobi huku zaidi ya wajumbe elfu nne wakihudhuria. Rais William Ruto na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron wakiwaongoza marais wengine kutoka mataifa ya Afrika kujadili jinsi ya kuimarisha uhusiano kati ya Afrika na Ufaransa. Viongozi hao pia wakijadili njia za kuwekeza barani ili kupunguza kutegemea kwa mataifa ya kigeni kimaendeleo. Willy Lusige anatufungulia jamvi la Nipashe hii leo.