Skip to main content
Skip to main content

Afrika ifuate njia ya traore kwenye kudhibiti madini?

  • | BBC Swahili
    30,577 views
    Duration: 1:30
    Burkina Faso imesema imeingiza dhahabu yenye thamani ya zaidi ya dola bilioni 6 katika nusu ya kwanza ya mwaka 2026, baada ya zaidi ya tani 55 kupita kwenye mfumo rasmi. Serikali ya Kapteni Ibrahim Traoré inasema hatua hiyo imeimarisha nafasi ya nchi hiyo kuwa miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa dhahabu barani Afrika, ikishika nafasi ya tano. Hata hivyo, wataalamu wanaeleza kuwa kuongeza udhibiti wa serikali kwenye rasilimali kunaweza kuleta faida pamoja na changamoto. Mwandishi wa BBC @frankmavura anasimulia zaidi. #bbcswahili #burkinafaso #madiniafrika Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw