Skip to main content
Skip to main content

Afrika Kusini na Ghana zakumbwa na mvutano wa kidiplomasia kuhusu mauaji ya raia wa Ghana

  • | BBC Swahili
    47,262 views
    Duration: 2:12
    Afrika Kusini na Ghana zakumbwa na mvutano wa kidiplomasia kuhusu mauaji ya raia wa Ghana Mvutano wa kidiplomasia umeibuka kati ya Afrika Kusini na Ghana kufuatia madai kwamba raia wa Ghana aliuawa wakati wa maandamano dhidi ya wahamiaji. - - #bbcswahili #ghana #afrikakusini #wahamiaji Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw