Skip to main content
Skip to main content

Afrika Kusini wameandika historia mpya katika Kombe la Dunia 2026!

  • | BBC Swahili
    26,718 views
    Duration: 1:28
    Timu ya taifa ya Afrika Kusini wameandika historia mpya katika Kombe la Dunia 2026! Baada ya kuifunga Korea Kusini kwa bao 1-0 katika mchezo wa mwisho wa Kundi A, Bafana Bafana wamekuwa timu ya pili kutoka Afrika kufuzu hatua ya mtoano kwenye Kombe la Dunia 2026 baada ya Morocco. Lakini je, ni historia gani wameiweka? Mwandishi wa BBC @loko_omi ametuandalia taarifa hii 🎥: @frankmavura Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw