Afrika Mashariki yaweka mikakati ili inufaike na bandari zake

  • | VOA Swahili
    124 views
    Uchukuzi wa baharini unaendesha asilimia kubwa ya biashara duniani. Mataifa ya Afrika Mashariki yanatekeleza sera mbali mbali kuhakikisha yanafaidika na biashara kwa kuimarisha bandari zao, pamoja na kuimarisha uchumi kutokana na mapato ya bandari zao. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.