Skip to main content
Skip to main content

Afrika yaandika historia Kombe la Dunia 2026

  • | BBC Swahili
    12,232 views
    Duration: 1:42
    Afrika yaandika historia Kombe la Dunia 2026! Morocco, Afrika Kusini na Ivory Coast tayari zipo hatua ya 32 bora, huku mataifa saba ya Afrika yakipigania tiketi zilizobaki. Je, ni nani atakamilisha safari ya bara la Afrika kuelekea hatua ya mtoano? Mwandishi wa BBC @loko_omi ametuandalia taarifa hii 🎥: @frankmavura Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw