Afueni kwa naibu rais | Mahakama ya kukabiliana na ufisadi yamwondolea mashtaka

  • | KBC Video
    23 views

    Ombi lililowasilishwa na mkurugenzi wa mashtaka ya umma la kuondolewa kwa mashtaka ya ufisadi dhidi ya Naibu Rais Rigathi Gachagua na watuhumiwa wengine 9 limekubaliwa. Mahakama imetoa uamuzi kwamba hakukuwa na ushahidi wa kutosha wa kusikiliza kesi hiyo ya ufisadi ya shilingi bilioni 7.3. Hakimu mkuu mwandamizi Victor Nakumile alisema mkurugenzi wa mashtaka ya umma alipaswa kuwa na ushahidi wa kutosha kabla ya kumshtaki Naibu Rais.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ufisadi #News #DPP #RigathiGachagua