Agnes Jebet Ng’etich adhamiria kushiriki mashindano ya Tokyo

  • | NTV Video
    338 views

    Mshikilizi wa rekodi ya dunia katika mbio za Kilomita 10 upande wa wanawake Agnes Jebet Ng'etich, ana imani ya kujikatia tiketi mbili za kuiwakilisha Kenya katika mashindano ya dunia yatakayofanyika jijini Tokyo Japan mwezi Septemba.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya