- 437 viewsDuration: 2:38Watoto katika shule ya Chekechea ya Nyantaro eneo la Kitutu huenda wakakosa kwenda shule hapo kesho kutokana na mazingira mabaya shuleni humo. Mbali na kuwa wanafunzi hawa wanalazimika hata kusomea chini ya miti, mvua iliyonyesha hii leo imetatiza masomo yao.