- 1,533 viewsDuration: 2:33Siku moja baada ya ajali ya eneo la Kariandusi Gilgil kaunti ya nakuru iliyowaua watu 10 papo hapo na wengine watano kujeruhiwa, familia zimeendelea kutambua miili za jamaa zao katika makafani ya hospitali ya Gilgil. Aidha, baadhi ya familia za waliouawa zimeanza maandalizi ya mazishi.