Ajali ya mauti Garissa

  • | NTV Video
    336 views

    Watu kumi waliofariki katika ajali ya barabarani iliyohusisha basi na trela karibu na eneo la Bangal kwenye barabara ya Garissa-Mwingi. Akithibitisha kisa hicho, Kamanda wa polisi Kaunti ndogo ya Bangal, Ephraim Karimi alisema watu wengine ishirini na sita walipata majeraha na kupelekwa katika hospitali ya Rufaa ya Kaunti ya Garissa kwa matibabu zaidi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya