Ajira kwa watoto imeongezeka katika kaunti ya Kajiado

  • | Citizen TV
    761 views

    Ajira kwa watoto inazidi kushuhudiwa katika kaunti ya kajiado ambapo watoto wengi wanaajiiwra badala ya kuenda shuleni. Hali hiyo imeathiri viwango vya elimu katika kaunti nne humu nchini kwa mujibu wa takwimu za idara ya takwimu nchini. Na kama anavyoarifu Nancy Chepkoech, Ulanguzi wa binadamu pia umekisiwa kuwa juu zaidi.