Skip to main content
Skip to main content

Akaunti nyingi za serikali za kaunti zazua utata

  • | KBC Video
    106 views
    Duration: 2:32
    Serikali za kaunti ziliripoti akaunti 6,585 za benki lakini hazikuwasilisha barua uidhinishaji wa akaunti hizo kwa msimamizi wa bajeti jinsi inavyohitajika.Kuliongana na ofisi ya msimamizi wa bajeti,akaunti hizo hazijaidhinishwa na ziliongezeka kutoka 6,386 mwezi desemba mwaka 2025 na kufanya iwe vigumu kusimamia bajeti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive