Alfred mutua, aahidi kuimarisha pakubwa uhamiaji wa wafanyikazi na kuvutia kampuni za kimataifa

  • | K24 Video
    4 views

    Alfred mutua, aliyependekezwa kuwa waziri wa leba, ameahidi kuimarisha pakubwa uhamiaji wa wafanyikazi na kuvutia kampuni za kimataifa nchini kenya, katika juhudi zake za kukabiliana na viwango vya juu vya ukosefu wa ajira nchini. Mageuzi yaliyopendekezwa na mutua ni pamoja na kupanua uhamiaji wa wafanyikazi 5,000 hadi 10,000 kila juma, na kukuza mazingira mazuri ya kubuni ajira katika sekta mbalimbali. linajiri hili wakati maandamano ya hivi majuzi yamechochewa na ukosefu wa ajira.