Skip to main content
Skip to main content

Ali Hassan Muhumed ateuliwa kuongoza jamii ya Murulle Isiolo

  • | Citizen TV
    1,045 views
    Duration: 1:59
    Jamii ya Murulle inayoishi Isiolo imefungua ukurasa mpya wa uongozi baada ya Ali Hassan Muhumed, maarufu kama Ali Sununax, kusimikwa rasmi kuwa mwenyekiti mpya wa jamii hiyo.