Skip to main content
Skip to main content

Alikimbia nyumbani baada ya kunyanyaswa kingono

  • | BBC Swahili
    3,513 views
    Duration: 1:40
    Alibakwa akiwa mtoto, akaishi mitaani, akajikuta kwenye dawa za kulevya na kukata tamaa ya maisha. Lakini baada ya miaka 24, amepata nafasi ya kuanza upya katika kituo maalum cha wanawake nchini Ethiopia kinachowasaidia waathirika wa ukatili na uraibu kujijenga tena. Je, kituo hiki kimebadilishaje maisha yake na ya wanawake wengine? - - #bbcswahili #ethiopia #unyanyasajiwakingono Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw