Skip to main content
Skip to main content

Aliyeaga dunia siye...

  • | Citizen TV
    16,189 views
    Duration: 3:27
    Familia moja hapa Nairobi imeshindwa kumzika jamaa yao kutokana na ukora wa bima ya afya ya SHA, ulioonyesha kufariki kwa mtu aliyekuwa hai. Haya yametokea kwa familia ambayo sasa imejipata kwenye njia panda kisheria kwa kuwa ndugu anayedaiwa kufariki yuko hai na nduguye aliyetumia bima yake akiwa ndiye aliyeaga dunia.