Aliyekuwa Gavana wa Meru KawiramMwangaza avurugwa Tigania

  • | Citizen TV
    802 views

    Aliyekuwa Gavana wa Meru Kawira Mwangaza kwa mara nyingine tena alijipata taabani huku polisi wakitawanya mkutano wake kwa vitoa machozi eneo la Tigania East.