24 Apr 2026 10:32 am | Citizen TV 3,912 views Duration: 1:46 Wingu la huzuni lilitanda mji wa Kisii katika hafla ya kipekee ya kumuaga aliyekuwa Kamanda wa kaunti ndogo ya Kitutu ya Kati Peter Kazungu Charo .