Skip to main content
Skip to main content

Aliyekuwa mbunge wa Lugari Enoch Kibunguchy aaga dunia

  • | NTV Video
    10,591 views
    Duration: 4:52
    Ni pigo kubwa tena kwa wakaazi wa eneo bunge la Likuyani, eneo pana la Lugari, na kwa wakenya wote kufuatia taarifa za kifo cha daktari Enoch Kibunguchy, aliyekuwa mbunge wa eneo bunge la Lugari.