Skip to main content
Skip to main content

Aliyekuwa meja wa jeshi Peter Mugure ahukumiwa kifungo cha maisha

  • | Citizen TV
    25,139 views
    Duration: 2:49
    Mahakama kuu imemuhukumu aliyekuwa meja wa Jeshi Peter Mugure kifungo cha maisha gerezani kwa mauaji ya mkewe na wanawe wawili. Hukumu dhidi ya mugure ikifikisha kikomo miaka saba ya safari ya kutafuta haki, kwenye kisa cha mauaji yaliyoibua hisia kubwa nchini. Jaji wa mahakama kuu Martin Muya akisema Mugure hakuonyesha majuto yoyote hata baada ya mauaji hayo.