Skip to main content
Skip to main content

Amisa Rashid atuzwa kwa mchango wake wa afya ya akili

  • | KBC Video
    148 views
    Duration: 1:36
    Kampeni za afya ya akili katika mitaa ya mabanda zimepata msukumo mkubwa baada ya kuidhinishwa na kutuzwa kwa Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa wakfu wa Nivishe, Amisa Rashid, ambaye kazi zake zimezingatia afya ya akili katika mitaa ya mabanda . Amisa alipokea tuzo ya Kiongozi Bora wa Sekta ya kibinafsi katika Afya ya Akili mwaka 2025. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News