- 1,881 viewsDuration: 41sTazama jinsi kijana mwenye umri wa miaka 15 alivyookolewa kutoka kwenye mashua iliyopinduka akiwa ndiye manusura pekee. Alikuwa ameng’ang’ania mashua hiyo usiku kucha katika Bahari ya Bering, Alaska, Marekani. Alikuwa kwenye safari ya uvuvi pamoja na familia yake. Kaka yake na binamu yake walifariki baharini na miili yao ilipatikana. #bbcswahili #marekani #ajaliyabaharini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw