Anyang' Nyong'o ndiye kaimu kiongozi wa chama cha ODM

  • | NTV Video
    672 views

    Kinara wa ODM Raila Odinga, leo amezindua rasmi uongozi mpya wa chama hicho akisema ana imani na viongozi haonkiendeleza sera na msimamo wa chama. Katika hafla hiyo Raila alikashifu maauji yalitotekelzwa wakati wa maandamano na kusema kuwa ODM itahakikisha kuwa haki za wanadamu zinalindwa kwa dhati.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya