- 3,336 viewsDuration: 2:08Maafisa wa polisi mjini Malindi wanamzuilia mwanaume mmoja wa miaka 29 aliyenaswa na maafisa wa ujasusi akivuka mpaka wa Kenya eneo la Lunga Lunga kuelekea Tanzania na mtoto wa miaka 3 ambaye amekuwa akitafutwa na familia yake.