Skip to main content
Skip to main content

Askofu mkuu wa kanisa la Orthodox awaalika wakazi Dagoreti kusini katika chakula cha mchana

  • | KBC Video
    224 views
    Duration: 3:37
    Jamii zinazoishi katika mtaa wa Riruta kwenye eneo bunge la Dagoreti kusini zilikuwa na kila sababu ya kutabasamu baada ya askofu mkuu Andreas Makarios wa kanisa la Orthodox humu nchini alipowaalika katika chakula cha mchana. Mengi zaidi ni katika mseto wa Kaunti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive