Skip to main content
Skip to main content

Askofu wa kanisa katoliki Mombasa Martin Kivuva amkosoa rais mstaafu Uhuru Kenyatta

  • | Citizen TV
    24,455 views
    Duration: 2:09
    Askofu wa kanisa katholiki jimbo la Mombasa Martin Kivuva amesema kanisa halifai kulaumiwa kuhusu siasa na matokeo ya uchaguzi nchini akisema kuwa ufisadi na suala la kuhongwa kwa wapiga kura ndiyo masuala yanapaswa kushughulikiwa kikamilifu.