Ibaada ya wafu ya waathiriwa 61 wa mafuriko Mai Mahiu yaendelea.

  • | Citizen TV
    530 views

    ibada ya wafu ya waathiriwa 61 wa mafuriko mai mahiu inaendelea. naibu rais rigathi gachagua na viongozi kutoka kaunti za nakuru na kiambu wanajumuika na wenyeji wa maombi kabla ya familia za waathiriwa kuchukua miili ya wapendwa wao kwa mazishi. Stephen Letoo anahudhuria hafla hiyo lakini kwa sasa tusikize yanayojiri.